SALIMIANGA WATU! 1. Watu wafupi salimia watu warefu kwa ploti, bulb huungua. 2. Salimia watchie, key ya gate hupotea. 3. Salimia mashemeji, kesi inaweza kuwa ngori. 4. Salimia jirani, chumvi huisha. 5. Salimia lecturer, marks hupotea. 6. Salimia receptionist, yeye ndiye anajua mko wangapi. 7. Salimia mtu wa makaa, gas huisha. 8. Salimia watu, sukuma hukwama kwa meno na unaenda date. 9. Salimia mtu wa choo ya kanjo, mtu huanza kuendesha na hana ten bob 10. Salimia classmate, utahitaji mwakenya 11. Salimia neighbour wa chali yako, anajua ni wangapi mnaletwa hapo. 12. Salimia shoemaker, kiatu huraruka. 13. Salimia watu wa ushago, gari hukwama kwa matope. 14. Salimia watu wa ploti, wao ndio wanajua wewe ni bibi number ngapi. 15. Salimia watchie kwa sababu Bae hukuja sponser akiwa kwa nyumba. 16. Smile na usalimie watu wa Kenya power, stima hukatwa wakakuachia fuse. 17. Salimia watu wana private cars, matatu hugoma. 18. Salimia landlord, mshahara huchelewa. 19. Nisalimie...
Comments
Post a Comment